bakundande jr
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 507
- 672
Ikiwa ni siku ya tarehe 18 ya mwezi wa sita, soku adhimu sana, siku ambayo kila mwaka dunia hiadhimisha siku ya kjnq baba kwa kutanbua mchango wao katika ngazi mbalimbali kuanzia ngazi ya familia, jamii na hata taifa kwa ujumla.
Nitumie fursa hii kumtakia maisha marefu baba yangu pale alipo kutokana na mambo mengi alionifanyia mpaka kufikia umri huu nilionao. Sio kwake tu na hata baba wengine wote na hata vijana wenzangu ambao bado tuko kwenye mchakato wa kuitwa baba.
Wewe kama mdau unalipi la kukumbuka uliofanyiwa na baba yako kama kumbukumbu ya siku hii ya akina baba dunia.....
N.B Tunataftia watoto wetu ili waje kuimba ni nani kama mama