Happy father's day......

Bra-joe

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,124
Happy father's day to all fathers in Jf and the whole world. Je, wanaokuita baba ni kweli wote wanao au wengine changa la macho? Kwani ndoa na mahusiano ya siku hizi vimeo kweli kweli. Enjoy your day.
 
kitanda hakizai haramu!!!

Pole sana ndugu, hayo ni maneno waliyokuwa wakijifariji mababu zetu miaka ya 47, kabla ya kuwa na kipimo cha DNA, au umekwishapigwa changa la macho na sasa unatafuta faraja?
 
haya kama na akina baba tunakuwa na siku yetu kweli umagharibi unatuingia kwa aina mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…