Thank you mr/ms Kandambilimbili kwa kuwa umeniwahi katika kutuma salaams za Easter. Ninapenda kuwatakia wana JF wote Easter njema yenye baraka na fanaka. Kwa wazazi na walezi tuwe na familia zetu, tufurahie pamoja.Pia kwa marafiki au wachumba mpate nafasi nzuri ya kutafakari hatima ya mahusiano yenu. Amani itawale kwa makundi yote mawili. Tuwe baraka kwa wale wanaotuzunguka wakiwemo, marafiki, adui, majirani, wagonjwa, yatima na wajane/wagani. Ni siku nne tu lakini tuzifanye miaka minne ya faraja kwa wengine.
Tuwe makini sana na matembezi ya sikuku hasa yale ya fukweni. Kumbukeni kwa wanaoishi Tz na jirani na bahari ya hindi huu ni wakati wa upepo na mvua ambazo ni hali za hewa ambazo huwezi kuzi determine so hakikisha watoto wako hawatoki bila uangalizi wa mtu mzima. Na pia si lazima kutoka kama hali ya hewa ni hatarishi.
Others are invited to add more. Once again, I wish you all the best, gain fresh breath and strenth to serve our nation.