Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Siku kama ya leo 1963 tulipata uhuru kwa kujikomboa kutoka kwa mabeberu.
#We are black
Hivi kwanini yule mchina aliye waiteni nyani mlijivunga kumfukuza ?? Unajua nilikua nasikia hili neno BANANA REPUBLIC SIKUJUA MAANA YAKE kumbe ni NYANI AKO NA NDIZI ndiyo maana mnajita banana
Thank you, this little boy ought to visit china and knw how chinese hate black skinMkuu mbona unafeli sana!?
Akitukanwa Mkenya au Mganda,etc ni kama tumetukanwa wote!
Sasa wewe unachekelea kama nyani Mwafrika mwenzio kutukanwa?
Aisee,hii hatari kabisa!
Wewe pia utakuwa ni ngedere tena mjamzito kama usemavyo ni kweli mbona tunafunga jela waafrica wenzetu kwahiyo ulitaka mwafrica akifanya upumbavu tumsifie fusadi mwafrika tumpongeze jambazi mwafrika tumpongeze nyinyi ndiyo wanafiki wa makanisani na misikitini mbona mnapinga ushoga wakati hao mashoga ni waafrika pia !!! Nani kakuambia uafrika ni utakatifu au uzungu ni utakatifu ??Mkuu mbona unafeli sana!?
Akitukanwa Mkenya au Mganda,etc ni kama tumetukanwa wote!
Sasa wewe unachekelea kama nyani Mwafrika mwenzio kutukanwa?
Aisee,hii hatari kabisa!