Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
A Mombasa municipal council worker hosts the national flag at the council's offices in preparation for Jamhuri day celebrations on Friday. It is on December 12, 1964 that Kenya was established as a republic.
Nachukua nafasi hii kuwatakia members wetu wote kutoka Kenya siku kuu
njema wanaposherekea 'Jamhuri Day'.Its been 47 years since Kenya was
given the mandate of a Jamhuri na tunawatakia siasa njema zenye kuleta
mafanikio katika vita dhidi ya ufisadi, ukabila na vibaka wanaoiba rasilmali
ya nchi.
Tudumishe umoja na undugu wetu!
kenya walipata uhuru 1963 na jamhuri 1964, hivi ni tayari miaka 47 imepita wandugu tangu 1964? basi mimi nitakuwa nakaribia umri wa miaka 100.
macinkus
A Mombasa municipal council worker hosts the national flag at the council's offices in preparation for Jamhuri day celebrations on Friday. It is on December 12, 1964 that Kenya was established as a republic.
Nachukua nafasi hii kuwatakia members wetu wote kutoka Kenya siku kuu
njema wanaposherekea 'Jamhuri Day'.Its been 44 years since Kenya was
given the mandate of a Jamhuri na tunawatakia siasa njema zenye kuleta
mafanikio katika vita dhidi ya ufisadi, ukabila na vibaka wanaoiba rasilmali
ya nchi.Tudumishe umoja na undugu wetu!