CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Wkuu habari za mwaka mpya
Wakuu samahani kwanza nimekuwa sionekani humu janvini kwa muda sasa hili linatokana na kutingwa na mambo mengi sana, kiasi kwamba huwa nachungulia humu mara chache sana. Na nilipata ziara ya kutembeleaMajirani zetu wa Kenya na kwa kweli kuna mambo mengi sana niliyo jifunza huko ambayo nazani ni muhimu sana tukayafanyia kazi kama kweli tunataka kupiga hatua na si vinginevyo,
Nikipata muda nitawea baadhi ya mambo, biashara kwa ujumla,na ishu ya ufugaji wa Kuku