Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hivi hili nalo lilikuwa na haja ya kuanzisha uzi? Hii si ingetosha kuwa comment kwenye uzi wa man uNaomba nichukue nafasi hii kuwatakia heri na baraka washabiki wote wa Man United.
Wajaliwe kuendelea kupata matokeo kama waliyoyapata msimu uliopita na huu unao endelea, kwa miaka mingi ijayo.
mwaka mpya huu ndio kwanza umeanza ila cha ajabu bwana don unatuombea mabaya..
Hivi hili nalo lilikuwa na haja ya kuanzisha uzi? Hii si ingetosha kuwa comment kwenye uzi wa man u
ungetufanyia maombi tufungwe na timu kubwa zote lakini tuzifunge timu ndogo.Yaani unategemea niwaombee mazuri tena
ungetufanyia maombi tufungwe na timu kubwa zote lakini tuzifunge timu ndogo.
angalau tufikishe alama 70
teh teh
kweli nimeamini mashabiki wa liverpool na man utd hawaivi chungu kimoja....Hahaha, nikiweza kumfunga Ole wengine wataanza nao kupata mbinu, hapo ndo mtakapotafuta akili ya kudili na madogo.
kweli nimeamini mashabiki wa liverpool na man utd hawaivi chungu kimoja....
dah! kumbe hatuwezi kupata dawa ya kuzifunga timu ndogo mfululizo mpaka tufungwe na jongoi
hongera bingwa mtarajiwa japokuwa mwaka jana uliipoteza nafasi kizembe sana ilipofika mwezi january to march, natumai ugonjwa ule hautojirudia tena.
ameeeennnn 🗣🗣🗣Salamu zimetufikia mkuu, nanyie pia tunaomba yaliowakuta msimu uliopita yajirudie tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu zimetufikia mkuu, nanyie pia tunaomba yaliowakuta msimu uliopita yajirudie tena
Sent using Jamii Forums mobile app