Happy new year to all

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
10,266
Reaction score
8,085
2010 was a tough year but I made it. I wish you all, ALL THE BEST FOWARD EVER, THE BACKWARD NEVER IN THE YEARS 2011
 
huyu kuku aliunguwa au alipatwa na nini 2010??? kanitia imani maskini...
 
noo usiseme hivyo... dat was da past now look 4 the feuture my dear,,, u can do it,,, and u ll do it... inshallah...
huyu kuku anarepresent wa-Tz wengi tu. tumechoka mno kiuchumi
 
huyu kuku aliunguwa au alipatwa na nini 2010??? kanitia imani maskini...

Huyu kuku hakupatwa na kitu chochote kibaya,bali huyu ni jamii ya kuku wanaoitwa kuchi.wanapokoamaa hunyonyoka manyowa,ni wazuri sana kwa kitoweo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…