Roy Logan JF-Expert Member Joined Jan 22, 2021 Posts 790 Reaction score 3,190 Jan 22, 2021 #1 Habari za majukumu Wajumbe, baada ya kuwa msomaji wa JF kwa muda sasa, leo nimeona namimi nijiunge rasmi ili kuweza kuchangia mawazo katika mambo kadha wa kadha, tafadhili naomba upokezi wenu humu. Mungu awabariki sana.
Habari za majukumu Wajumbe, baada ya kuwa msomaji wa JF kwa muda sasa, leo nimeona namimi nijiunge rasmi ili kuweza kuchangia mawazo katika mambo kadha wa kadha, tafadhili naomba upokezi wenu humu. Mungu awabariki sana.
Whackiest JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 1,109 Reaction score 1,319 Jan 22, 2021 #2 Okay Karib san logan
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jan 23, 2021 #3 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Jan 23, 2021 #4 Zamani ulikuwa unaitwa ni nani? Karibu.
Roy Logan JF-Expert Member Joined Jan 22, 2021 Posts 790 Reaction score 3,190 Jan 25, 2021 Thread starter #5 Mamndenyi said: Zamani ulikuwa unaitwa ni nani? Karibu. Click to expand... Ha ha ha ha zamani sikuwepo humu kama Member, nilikuwa msomaji, niseme tu hata comments zako nimezisoma sana. Mamndenyi said: Zamani ulikuwa unaitwa ni nani? Karibu. Click to expand...
Mamndenyi said: Zamani ulikuwa unaitwa ni nani? Karibu. Click to expand... Ha ha ha ha zamani sikuwepo humu kama Member, nilikuwa msomaji, niseme tu hata comments zako nimezisoma sana. Mamndenyi said: Zamani ulikuwa unaitwa ni nani? Karibu. Click to expand...
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 Feb 16, 2021 #6 Karibu sana mgeni jisikie upo nyumbani.