Happy New Year Watumishi wa Umma

Happy New Year Watumishi wa Umma

Protector

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Posts
422
Reaction score
893
Serikali leo imeanza mwaka mpya wa fedha, kadhalika hata watumishi leo wameanza mwaka mpya ambapo jambo kubwa linalotarajiwa na watumishi ni nyongeza ya mshahara ambayo leo ndio imeanza kufanya kazi.

Mtumishi umejiandaaje kupokea mshahara mpya?
 
Umemalizana na SAUT na wameshakupa ID yako ili uweze fanya mtihani bwana mdogo?
Kumbe bado ni KIJANA WA CHUO ANATAPIKA MANENO YANAYOMZIDI UMRI.

Aendelee kuhangaikia ID mambo ya baba zake ayaache.
 
Serikali leo imeanza mwaka mpya wa fedha, kadhalika hata watumishi leo wameanza mwaka mpya ambapo jambo kubwa linalotarajiwa na watumishi ni nyongeza ya mshahara ambayo leo ndio imeanza kufanya kazi.

Mtumishi umejiandaaje kupokea mshahara mpya?
Ya watumishi wa umma haya kuhusu hangaika na hao sauti hapo mwanza.

#MaendeleoHayanaChama
 
mkuu nateseka ukitokea UNEMPLOYMENT ya wapi??
 
Serikali leo imeanza mwaka mpya wa fedha, kadhalika hata watumishi leo wameanza mwaka mpya ambapo jambo kubwa linalotarajiwa na watumishi ni nyongeza ya mshahara ambayo leo ndio imeanza kufanya kazi.

Mtumishi umejiandaaje kupokea mshahara mpya?
Ukiwa mtumishi unaweza wekewa nyongo ya mamba !!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Serikali leo imeanza mwaka mpya wa fedha, kadhalika hata watumishi leo wameanza mwaka mpya ambapo jambo kubwa linalotarajiwa na watumishi ni nyongeza ya mshahara ambayo leo ndio imeanza kufanya kazi.

Mtumishi umejiandaaje kupokea mshahara mpya?
Na uwajibikaji uwepo, siku hizi inaangaliwa pesa tu.
 
Back
Top Bottom