Happy Pi Day everyone

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540


Leo, tarehe 14 mwezi wa tatu ni siku ya Pi (3.14159265359).

Je, wewe umeisherehekeaje siku ya Pi?

Mimi ndo nimetoka Mathnasium sasa hivi ambako bi mdogo alikuwa na activities kibao za hisabati.

Kuna vitoto vinajua hesabu bana.....baadhi ya sie watu wazima ilibidi tukae kimya tu kuogopa kuadhirika.


 
Reactions: Paw
22/7 au 3.14 nakumbuka sana mambo haya. Hasa katika kutafuta eneo la duara,nusu duara na kadhalika.Asante mkuu Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw
Hii ni kutudanganya kwa maana PI ni 22/7 = 3.142857143. So Siku ya PI mwaka 2015 haina uspecial wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…