Happy valentine Day

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
2,912
Reaction score
12,904
Ndivyo navyoweza kusema

Watu wamesherehekea vyema na wapenzi wao ,kila sikukuu ina maana yake.

Wapo wanaotaka out kila weekend,.

Lakini outing ya Leo ni ya kipekee Kwa wengi.

Wapo wanakula vizuri kila siku,lakini mlo wa leo ni zaidi ya kula.

Watu wanapeana zawadi kila siku lakini Gifts za leo ni zaidi ya zawadi

Muheshimu unayempenda na kumjali pia kihisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…