Happy Valentine's Day kwa Wapendanao

Happy Valentine's Day kwa Wapendanao

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
Ukifanikiwa kumshawishi mwenza wako siku ya leo mkatoka kwenda kusalimia wenye uhitaji mahospitalini hata vituo vya wenye uhitaji mtakuwa mmefanya jambo litaloishi mioyoni mwa watu na machoni pa Mungu hata milele.

Mimi huku mambo bado hayaeleweki. Demu lenyewe linajishebedua.

HAPPY VALENTINE DAY!!!!

View: https://www.youtube.com/watch?v=aoKzSzJM6yM
 
Happy Valentine day my Angel Nylon
1739434006919.jpg
 
Picha linaanza naamka nakutana na jumbe ya kivalentaini kutoka kwa mke wa mtu sumu.

Huyu ke tulifahamiana mambo yakawa bambam nikajabaini ni mke wa mtu nikampotezea ila hakomi kunitafuta. Aliomba sana tuendelee kwa siri ila nilimkatalia, si ajabu hizo salam za valentine hata mmewe hajamwambia. KATAA NDOA kuna muda mna hoja.
 
Ukifanikiwa kumshawishi mwenza wako siku ya leo mkatoka kwenda kusalimia wenye uhitaji mahospitalini hata vituo vya wenye uhitaji mtakuwa mmefanya jambo litaloishi mioyoni mwa watu na machoni pa Mungu hata milele.

Mimi huku mambo bado hayaeleweki. Demu lenyewe linajishebedua.

HAPPY VALENTINE DAY!!!!

View: https://www.youtube.com/watch?v=aoKzSzJM6yM

Magnifique=Magnificent =Magnifico.
 
Back
Top Bottom