MONTESQUIEU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 847
- 80
Unampenda?
Anakutimizia haja zako?
Tafakari chukua hatua
anakupenda wewe baada ya kilaji
Jamaa yangu kaondoka hasubuhi
Kanijia saa 6.30 ucku amelewa hoi na ua lililochakachuliwa .
Huyu naye ni mpenzi kweli?
mke mtu alimsubiri mumewe tokea asubuhi mpaka saa mbili usiku,mke anajuwa wazi mumewe anapenda sana basketball, jamaa alipofika tu akamwambia mkewe kuwa alikuwa akila raha na karani wake,mke akashangaa kumwangalia jamaa alikuwa kachafuka nyasinyasi, mkee akawa mpole akamwambia jamaa siku nyingine ukienda uwanjani nitaarifu kumbe jamaa ni kweli alikula maraha na karani ila alipitia uwanjani kujichafua kidogo ili asishtukiweWewe hukuchukua hatua ya kumuhoji kulikoni?
Huenda alizidiwa na mvua ya Jana
ahahahah yaani kwanza nimecheka!!!! Afadhali wewe uloopewa ua lililochakachuliwa...wengine bado twangoja tu......lakini mbona na ulevi wote huo kakumbuka kukuletea!!!

Mambo!!!Subiri tu Shishi, labda aliagiziwa yale ya kutoka london, yapo njiani yaja. Mvumilivu...................