Happy Valentine's in advance dear

Mapenzi pekee ndo njia wa wajinga kuwaburuza wenye akili
 
Happy vals day niliowapenda, ninaowapenda na nitakaowapenda. Have fun pipo!!
 
Happy Valentine’s Day [mention]Unique Flower [/mention] Nakupenda wangu wa ubani wala sina hofu na lako penzi la huba hakika kupendana kwetu sio mwiko kwani mwili wako ni wangu na wangu ni wako nitunzie lako tunda nile nitakavyo[emoji7][emoji7][emoji7] nakupenda mpaka nakupenda tena mmwwaaaah wasikuhadae wale wasojua kupenda waniachie wewe wangu wa pekeee




[emoji179]My Honey [mention]Unique Flower [/mention] [emoji179][emoji524]natamani ungekuwa karibu nami [emoji524]Sasa upo mbali sijui ni muda gani utakuja kuutuliza wangu mtima[emoji179][emoji524]Una kila kitu chenye kunifanya nikusifie na kujivunia kuwa nawe[emoji179][emoji524]Siwezi ficha wangu upendo kwako[emoji179][emoji524]Popote ninapo kuwa nitaonyesha wangu upendo kwako[emoji179][emoji179]NAKUPENDA SANA EWE WANGU KIPENZI[emoji179] [mention]Unique Flower [/mention] [emoji108][emoji108][emoji108]
 
Nasubiri kesho zamu yangu na mama wa kambo. Leo wacha baba afaidi. Uzuri mbususu hainaga makombo
 


Sikukuu Ya Makafr Hii Wameuteka Ulimwengu Wote

Tunaongea Valentine Valentino
 
Umpikie na changu wa kupaka
Halafu jioni mtoko

Me ndugu yako naona mzabzab anataka anitoe out ila sasa outing za mzabzab nazipotezea maana lazima na uchakavu uwepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimepata mda wa kushika cm now.
Siku imeenda vyediii mnooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…