Happy woman's day to all ladies in this forums

Ahsanteee sana shabiki mwenza wa blues… on behalf of the mentioned ladies/ women tunakushukuru kwa wishes zako.

Tunawapenda wababa zetu, wababa daddie, wababa washua, wababa babaa nk πŸ₯°πŸƒβ€β™€οΈ
 
Asante sana Kijana wa Hovyo...ila embu kuwa muwazi. Tuna mioyo ya ajabu...au mioyo ya ajabu!!?😁

Tusije tukachekelea ka-insult kalikojificha kama compliment.πŸ₯΄πŸ˜πŸ˜„
 
Kwa taarifa yako uliowataja wote hakuna jinsia ya kike

JF kuna jinsia ya kike wawili tu,ambao sa hivi wameacha kutumia JF

Kwa niaba ya hao wengine wengiii uliowasahau tunashukuru kwa salamu
 
Kwa taarifa yako uliowataja wote hakuna jinsia ya kike

JF kuna jinsia ya kike wawili tu,ambao sa hivi wameacha kutumia JF

Kwa niaba ya hao wengine wengiii uliowasahau tunashukuru kwa salamu
🀣🀣🀣🀣 mibangi next level hii

Nielekeze kwa pusha wako tafazali πŸ’ƒ
 
Kwa taarifa yako uliowataja wote hakuna jinsia ya kike

JF kuna jinsia ya kike wawili tu,ambao sa hivi wameacha kutumia JF

Kwa niaba ya hao wengine wengiii uliowasahau tunashukuru kwa salamu
Hapo ulitakiwa niandike happy maporody ya kike's day hahahahahha....

Anyway sijui nimekusahau je bebe
 
Asante sana Kijana wa Hovyo...ila embu kuwa muwazi. Tuna mioyo ya ajabu...au mioyo ya ajabu!!?[emoji16]

Tusije tukachekelea ka-insult kalikojificha kama compliment.[emoji3061][emoji57][emoji1]
Hahahahha kiswahili ni kipana....mna mioyo mizurii sana na ya uvumilivu mnoo we hushangai kijana wa hovyo eti nina Mama na mke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ahsanteee sana shabiki mwenza wa blues… on behalf of the mentioned ladies/ women tunakushukuru kwa wishes zako.

Tunawapenda wababa zetu, wababa daddie, wababa washua, wababa babaa nk [emoji3059][emoji2088]
Hao wababa hapo mbona wamekua wengi sana... vijana ndio hatuna chetu hahahahha
 
Ahsante Sana kichaa wangu...mla kitimoto usiechuja...[emoji23][emoji23]... Nakupenda pia rafiki yangu..ishi Sana mtu mrefu..[emoji4]
Umenikumbusha kitimoto ushaharibu bajeti zangu daaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…