Happy woman's day to all ladies in this forums

Kwa taarifa yako uliowataja wote hakuna jinsia ya kike

JF kuna jinsia ya kike wawili tu,ambao sa hivi wameacha kutumia JF

Kwa niaba ya hao wengine wengiii uliowasahau tunashukuru kwa salamu
Aaa dadeki kwisha habari yangu nishatongoza libaba huko..🀣
 
Ahsante Sana kichaa wangu...mla kitimoto usiechuja...[emoji23][emoji23]... Nakupenda pia rafiki yangu..ishi Sana mtu mrefu..ubarkiwe kila uchwao[emoji4]
Dear... Mambo?!
 
πŸ™πŸ™

Japo nawaza hapa Kaka yangu hiyo mioyo yetu ya ajabu ndo ipi tena.
 
Kwa taarifa yako uliowataja wote hakuna jinsia ya kike

JF kuna jinsia ya kike wawili tu,ambao sa hivi wameacha kutumia JF

Kwa niaba ya hao wengine wengiii uliowasahau tunashukuru kwa salamu
Hahahaaa. Ila Pacha sijui umewaza nini lol.

Nakazia aione rafiki yangu Bill. πŸ’ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…