hhahahah wewe bang sana aisee hahahahTumekumiss nilipitia ombi lako tena nimepata nafuu nikiwa tofauti ntarudi tena usinichoke
Asanteni sana na muwe na usiku mzuriMweeh usijali ndugu yangu, muda wowote tu karibu sana; ndo maisha. Mungu na azidi kukufanyia amani
Sijui ni nani huyo amemfungia kusikojulikana, ntamsalimu. Uwe na usiku mwema piaAsanteni sana na muwe na usiku mzuri
Mbiti espy kapotelea wapi?? Ukimpata mpe salam zangu basi
Muda ule nilikuwa vby sanahhahahah wewe bang sana aisee hahahah
poleeMuda ule nilikuwa vby sana
sijamtia machoni
Sijui ni nani huyo amemfungia kusikojulikana, ntamsalimu. Uwe na usiku mwema pia
Yani sijui kajificha wapi aisee, tangu atokee siku ile sijamuonapo tenaSijui ndo tabia gani hii kaanza siku hizi ya kupotea kusikojulikana..
Sijui ndo tabia gani hii kaanza siku hizi ya kupotea kusikojulikana..
Yani sijui kajificha wapi aisee, tangu atokee siku ile sijamuonapo tena
Na mabanzi ya kinyakiAjiandae kula kichapo cha kisukuma akirudi..
Huwa nachukia sana BAK but sina jinsiBinadamu ndivyo walivyo CG na hili si kwa wanawake tu bali hata kwa baadhi ya ME.
Mimi sio mtu wa kupenda ugomvi na hata nikigundua mtu kanisema vibaya huwa nakaa zangu kimyaI know...... and the right thing to do is to try your level best to be the best human being that you can be and always to take the high road instead of negativity road.