D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
[emoji322] [emoji323] [emoji322] [emoji323] [emoji322] [emoji323] [emoji323] [emoji322] [emoji322] [emoji322]Habari wanajukwaa
Siku kama ya leo miaka kadhaa nyuma mwanaume nilizaliwa i cant think ni furaha kiasi gani walikuwa nayo wazazi wangu hii siku baada ya kumpokea kijana wa kiume kwa mwaka niliozaliwa ilikuwa ni jumanne ila kwa mwaka huu ni ijumaa.
Ujumbe nawapendeni wote
NB:sitafanya sherehe leo isipokuwa ntafanya kitu kitakachonipa baraka kwa MWENYEZI MUNGU
sent from posta