I must confess that i wokap veery happy and thankful to have reached this milestone.
I am also suprised that i share this special day with the king of Infidelity, my dear binamu Teamo. "Happy birthday T", May this day change you into a saint for the rest of your life coz that way you would forget all about infidelity:violin::violin::violin:. Ha ha haaaaaa! Have a great day and years ahead.
Actually hapa nafanya logistics za sicksheet...nshaonge na dokta kashaniahidi ED 2.tukutane zero pub kwa a looooooooooooooooong extended bash!
muda ni saa moja jioni
hahahaha!Happy birthday to you two, may u leave and blow 100 candles.
Teamo sala bado zinaendelea kwa tabia mbaya ya infidelity, utanyooka tu.
Happy birthday to you two, may u leave and blow 100 candles.
Teamo sala bado zinaendelea kwa tabia mbaya ya infidelity, utanyooka tu.
Happy Birthday Carmel and Teamo....
*May God bless.....* :A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss:
Happy birthday Carmel
Happy birthday Teamo,
La msingi ni kwamba walau Carmel ame acknowledge u KING wa mkuu TEAMO kwenye Infiii
Sasa sijui maadam leo ndo wamezaliwa pamoja, naomba tupige kura wafanyeje pamoja kuienzi siku? Najua Carmel hatumii valuuu....
siku moja moja kujipa raha sio mbaya.Na wewe utakuja? usije na mmeo/bf wako tafadhali...Ma-infii wapo wa kutosha!
Wanajamvi napenda niwatakie maisha marefu wale wote tuliozaliwa siku kama ya leo.
Ningependa tuazimishe siku hii kwa amani na upendo, Na ningependa tukutane walao tupige moja baridi moja moto leo pale Breakpoint ya mjini kuanzia saa 12 jioni.
HAPPY BIRTHDAY TO ALL MY TWINSπarty:πarty:πarty:
For some reasons, I missed you....when is yours?
Hommie hapo Usalule hakuna πlane:....uwepo wako muhimu bana!For some reasons, I missed you....when is yours?
Mchango wako wa August bado sijaupata...hebu twende pm kwa logistics zaidi...siku moja moja kujipa raha sio mbaya.
Hommie, nisome katikati ya mistari hapo au ndio kama ulivoandika?
Oh thank you Mheshimiwa Mwenyekiti....
Mine is a long way to come..... 20th June :smile-big:
Hommie hapo Usalule hakuna πlane:....uwepo wako muhimu bana!
Soma kati kati kisha ukimaliza usome kawaida hommie..
good.....ngoja nii 'bookmark'....mweka hazina Asprin takenote for future use....
:becky::becky::becky: