Hapy bazidei to you my wife to be BUTOGWA SHIJA

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Siku kama ya leo alipata kuzaliwa mke wangu mtalajiwa aendaye kwa jina la butogwa shija

Butogwa shija alizaliwa mwanza tanzania lakin baadaye familia yake ilihamia daresalama

Butogwa shija ashawah kuwa wa kwanza kitaifa hapo mwaka juz

Ni msomi hujawah ona

Ana ajira CRDB BANK ambayo ashaaidiwa kitambo sana kwahiyo swala la njaa halitakuwa na nafasi tena kwenye ndoa yetu

Soma sana mchumba wangu butogwa, mimi niko huku napamban ile mbaya nakomaa ili baadae tuwe na maisha mazur

NAWAOMBA TUMUWISH SIKU NJEMA YA KUZALIWA JAMAN

LONDON BABY
 
12741970_934984066598575_555519779128912096_n.jpeg
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Siku kama ya leo alipata kuzaliwa mke wangu mtalajiwa aendaye kwa jina la butogwa shija

Butogwa shija alizaliwa mwanza tanzania lakin baadaye familia yake ilihamia daresalama

Butogwa shija ashawah kuwa wa kwanza kitaifa hapo mwaka juz

Ni msomi hujawah ona

Ana ajira CRDB BANK ambayo ashaaidiwa kitambo sana kwahiyo swala la njaa halitakuwa na nafasi tena kwenye ndoa yetu

Soma sana mchumba wangu butogwa, mimi niko huku napamban ile mbaya nakomaa ili baadae tuwe na maisha mazur

NAWAOMBA TUMUWISH SIKU NJEMA YA KUZALIWA JAMAN
GAY BABY SIJUI KAMA ATANIPENDA MAANA MIMI SIDINDISHI
Mchicha pori
 
Mbona kama hamuendani?? Namfaham sana huyu binti... Ni smart sana kichwani pia ni mcha mungu na ametokea kwenye familia ya wapenda dini.... Sasa wewe mpanda fisi inakuaje na huu uzi wako??
 
Aisee umeonge point sana, kunywa soda tutaripa kwa hisani ya mpanda Fisi

Huyu mtoto asiolewe na mlozi
 
Mbona kama hamuendani?? Namfaham sana huyu binti... Ni smart sana kichwani pia ni mcha mungu na ametokea kwenye familia ya wapenda dini.... Sasa wewe mpanda fisi inakuaje na huu uzi wako??
mkuu mbona unataka kuniharibia aisee
 
Back
Top Bottom