Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Siku kama ya leo alipata kuzaliwa mke wangu mtalajiwa aendaye kwa jina la butogwa shija
Butogwa shija alizaliwa mwanza tanzania lakin baadaye familia yake ilihamia daresalama
Butogwa shija ashawah kuwa wa kwanza kitaifa hapo mwaka juz
Ni msomi hujawah ona
Ana ajira CRDB BANK ambayo ashaaidiwa kitambo sana kwahiyo swala la njaa halitakuwa na nafasi tena kwenye ndoa yetu
Soma sana mchumba wangu butogwa, mimi niko huku napamban ile mbaya nakomaa ili baadae tuwe na maisha mazur
NAWAOMBA TUMUWISH SIKU NJEMA YA KUZALIWA JAMAN
GAY BABY SIJUI KAMA ATANIPENDA MAANA MIMI SIDINDISHI