Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Mwee ...!
usipate tabu dada ukiona hivyo ujue uchunge mme wako akiwa jirani na huyu mtoto wa kiume.Mie yule dullah huwa simwelewi jamani.......
Ndo nini kubana pua vile.........
Mie yule dullah huwa simwelewi jamani.......
Ndo nini kubana pua vile.........
usipate tabu dada ukiona hivyo ujue uchunge mme wako akiwa jirani na huyu mtoto wa kiume.
2waulize nyie masista duu,c ndo swaga za mabebi wenu mzipendazo!
Hapana sio wote tunapenda hivyo.......yaani huwa inakuwa Kero jamani
dula ana2tia aibu vjana marijali km ss!,jamaa huwa ananpa mashaka kwel,hata km swaga co hzo za kujipodoa,kurembua rembua adi anataka kukuzd black beauty we2 wa jf.cha ajabu anapodoaga mpk maneno!
Mie yule dullah huwa simwelewi jamani.......
Ndo nini kubana pua vile.........
Dulah ameiharibu planet bongo ya salama.bora hata ibadilishwe jina. Salama alikua anatupeleka hadi gheto kwa fid q ! Mbana pua huyu ni samadi ya binadam kabsa
ulitaka Dullah akupeleke ghetto la nani?..elewa dula hawezi kuwa Salama,,usilazimishe dula awe salama,mwache afanye kama dula sababu yeye sio salama..kama anakuboa kwa kutokua salama,jaribu wewe kuwa salama.
miaka kadhaa ndio miaka mingapi?