Haraka ya on nini?

Haraka ya on nini?

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Baunsa mmoja alikuwa kapumzika sehemu sehemu anakula upepo na ghafla dogo mmoja akamfuata. Huku akionyesha kujiamini yule dogo akamvagaa yule baunsa!

DOGO: Oyaa bro saa ngapi?

BAUNSA:Hebu ondoka usinisumbue!

DOGO: Siondoki mpaka uniambie sasa hivi ni saa ngapi!

BAUNSA: (Kwa hasira) Saa nane na nusu

DOGO: Poa ikifika saa 9 nakuja kukushika tako!

BAUNSA: Unasemaje wewe mjinga hunijuii? (Akaanza kumfukuza, dogo akakimbilia nyumba jirani, Baunsa kamkuta mzee nje ya ile nyumba!)

BAUNSA: Kuna dogo kaingia humu ndani namtaka!

MZEE: Ndio nimemuona, Ni mjukuu wangu, kafanya nini?

BAUNSA: Aaaaha! Kanambia eti ikifika saa tisa atakuja kunishika tako

MZEE:Sasa haraka ya nini? Vumilia kidogo, Bado dakika 20 tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha sura ya mshkaji sasa wakati huo....
 
hapo naanza kutia mzee vitasa dogo namfanya sub
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hapo ni sawa na mzee anakazia kuwa lazima dogo ashike tako kwahio asjiwahishe asubiri saa dogo aliopanga mwenyewe
 
Back
Top Bottom