Alegria do povo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 293
- 441
Yule mchezaji wa Jana Carlos Bacca alowapa ubingwa Sevilla, miaka nane ilopita alikuwa Mvuvi na kondakta wakati huohuo anapigana kucheza soka. Malipo yake anayapata akiwa anaelekea miaka 30 sasa.
Vijana wetu wanawaza betting kuliko kununua viatu vya soka, kwao kutoka kisoka ni bahati sio kujituma. Ile akili ya refarii kwenye maisha inatumaliza wengi sana.
Anyway tuache propaganda, kuna jambo moja tu kwa sasa linaweza kuwaokoa hawa wachezaji wetu na haki zao. Tengenezeni chama cha soka cha wachezaji kitakachosimamiwa na wanasheria bora. Kuwepo na ada tu ambayo itatoa mishahara ya hawa wanasheria kila mwezi. Nchi zilizoendelea wachezaji wana mawakala wao wenye akili na bado wana hivi vyama vya kuwatetea, iweje sisi ambao hata mawakala au mameneja tunawapata siku ya kesi.
Siku njema. Simba wanamfunga goli Messi, Kisha wanajifunga wao na mwisho wanalifunga taifa lao.
Anaitwa Nicasius Coutinho Suso kule Facebook