minda JF-Expert Member Joined Oct 2, 2009 Posts 1,068 Reaction score 67 Aug 23, 2010 #1 wimbo wa harambee unaotumiwa na ccm utakuwa mzuri tu pale ile sehemu ya kuwachanachana na kuwatupa wapinzani itakaporekebishwa kwani inaweza kuleta hisia za ubaguzi kwa watanzania wengine. nawasilisha.
wimbo wa harambee unaotumiwa na ccm utakuwa mzuri tu pale ile sehemu ya kuwachanachana na kuwatupa wapinzani itakaporekebishwa kwani inaweza kuleta hisia za ubaguzi kwa watanzania wengine. nawasilisha.