Harambee: Kuiona Mechi ya Brazil na Taifa stars

ok,noted.
 
Asante sana Masaki kwa kuliona hilo,ni wachache sana ambao huwa wanaona opportunities kama hizo.Mie nasubiri hiyo free pass kwa vile nategemea na wewe ni mdau wa utalii.Nitahakikisha ninabeba na vibuyu vyangu huko uwanjani.
 
Yaani Charity watu wanajikausha ingekuwa umewaambia mkutane kwenye kinywaji ndo harambee ifanyike kina masaki wote wangekuwepo,kaizer ,Chrispin,Kimey, Next level. Fidel80,Geoff mambo yangekuwa full mzuka kiingilio si tatizo tena
 
Kwa hiyo amekosea ''approach''? Yaani anagesema jamani wapwa karibuni kwangu J'tano kuna mbuzi choma na bia. Ila kutakuwa na harambee kidogo ya kuchangia tiketi ya kuangalia mechi ya Brazil.
 
FL1 wee acha tu,watu wanatoa harambee wakiwa na hengiova.Lakini mpira si mpaka tarehe 6? labda wanajifikira watoe nini,ngoja tuendelee kusubiri.Na nakuahidi zikizidi nitakugawia angalau upate ticket ya elfu 30.
 
Kwa hiyo amekosea ''approach''? Yaani anagesema jamani wapwa karibuni kwangu J'tano kuna mbuzi choma na bia. Ila kutakuwa na harambee kidogo ya kuchangia tiketi ya kuangalia mechi ya Brazil.
Hahahahahahahaaaa.Hujatulia kweli wewe.Lakini pengine huo ndo ukweli wenyewe.nitabadilisha approach ila naomba msaada wako wa ku-organize.
 
Hahahahahahahaaaa.Hujatulia kweli wewe.Lakini pengine huo ndo ukweli wenyewe.nitabadilisha approach ila naomba msaada wako wa ku-organize.

Consider it DONE! Sema lingine!
 
Posts kama hizi zinanifanya niamini kwamba Watanzania wengine wamepata uongozi wanaodeserve.

Wewe mtu masikini, unataka kufanya anasa usizoweza. Watu masikini, lakini wanajitutumua kufanya harusi za kifahari.

HALAFU HAPO HAPO UNAOMBA WENGINE WAKUPE MSAADA ILI UFANYE ANASA!!!!!!!!!

BILA AIBU!

Six million US dollars for a one day extravaganza!

From a very poor country nevertheless. And my fellow Tanzanians are extra jubilant over this.

Tanzania, a poor African country with GDP Per Capita hovering around $ 500, half of the hospital beds taken by AIDS patients, with a good number of other patients either sleeping on the floor or sharing beds and therefore sharing communicable diseases, a good percent of primary school students sitting on dirt/ floor due to lack of desks in school, less than 29% percent with access to clean water (Ministry of Water figures, so you know the true figure is half of that, if that) … I can go on and on to paint the picture of abject poverty afflicting my country, but I believe you get the picture.

The bottom line is that Tanzania is a very poor country, and bringing Brazil at this cost is irresponsible.

The $ 6m could have funded 90,000 new school desks or 90,000 hospital beds, clean water projects for a good number of villages in rural Tanzania.

Just to put this into perspective, at the official GDP Per Capita of $ 500 (which is buoyed by a few industrialist multimillionaires and thieves in the government) it will take 12,000 Tanzanians to work a full year to cover this cost.

To put this in perspective, if you take the GDP Per Capita (nominal) of the USA to be 50,000 for simplicity's sake (it is around 46,000) and use it in equivalent manhours used to import this irresponsible extravaganza, it will cost the USA around 600 million dollars to play one match. Now even with the relative affluence of the USA compared to Tanzania I doubt people would be enthusiastic to this type of a rip off.

I am Tanzanian, but when I look at our poverty, lack of priority and the gleeful nonchalance that my countrymen adopt, sometimes I am tempted to diss nationalism.
 
Nashukuru sana Kiranga kwa moyo huo wa ufianchi lakini naona kama mimi unanionea bure.Pengine ulitakiwa uwe mshauri wa rais wa masuala ya kiuchumi ili at the first place hao Brazil wasije kabisaaaaa hapa Bongo.Sasa ndo hivo tena mkataba ushasainiwa na wanakuja iliyobaki twende tu tukawaone kwa vile hata nikisusa kwenda ''wengine'' wataenda hivyo haitasaidia sana.Na mimi nimeona niombe mchango ili niende nipunguze makali ya uchungu angalau kushangilia.
Samahani lakini kama nimekukwaza.
 
Shoga unaniabisha.
Anayekufa kwa kiu ziwani huyo ni mzembe.
Wala huna haja ya kuomba michango.
hebu ni'PM nikupatie mbinu ya kuingiza pesa za chap chap.
 
Rais nishamchamba sana.

Na wewe una wajibu kukataa kuhusika vyovyote na upuuzi huu. Kunatakiwa kuwe na movement ya ku boycott hii mechi kutoka kwa watu wote wasiojiweza kiuchumi wa Tanzania.

Nakushangaa unavyoshabikia kitu ambacho huwezi kukimudu, kitu ambacho kimetumia vibaya hela yako ya kodi.

Hizo $ 6m wangeweza kuwapa walimu raises hata kama ni kwa gesture tu ya ku raise morale na solidarity.

Instead, wanatumia live ammunition against you, na wewe unafurahia kabisa, tena unatafuta kiingilio kwa nguvu.

Ni kama kondoo anayetafuta nauli ili aende machinjioni kuchinjwa.
 
Charity umejua kufanya taimingi aisee si ndo na mwisho wa mwezi umefika ikikaribia kufika laki na nusu hebu nishtue tafwadhali
 
Shoga unaniabisha.
Anayekufa kwa kiu ziwani huyo ni mzembe.
Wala huna haja ya kuomba michango.
hebu ni'PM nikupatie mbinu ya kuingiza pesa za chap chap.
Dada Mwazani nakushukuru.Mie nimfanyakazi na tena nina kigenge lakini nikichanganya kila mwezi nakuwa na uhitaji.Sasa kama una aidia ya biashara inayoweza kunikwamua nitakutafuta.Lakini mechi ni tarehe 6 hivyo mchango ni muhimu wakati naanza mikakati ya biashara mpya.
btw nimekupenda sana kwenye hiyo avatar yako.
 
umechangia JF pia
 
sijui nikuchangieee, au nisikuchangieee? ngoja nijifikirie kwanza...afu nitakupa jibu.
 
nakupa ka-idea kadogo tu,jiunge uanachama yanga haraka kisha nenda kwenye mkutano wao YUSUPH MANJI atagawa ticket bure kwa wote waliohudhuria.
 
Sasa nifanyaje mkuu? hilo la kuwaleta Brazil kwa gharama kubwa ndilo limenikasirisha mpaka nikaamua na mimi kama nikienda itakuwa sio mbaya sana.Kwa vile hata nikisusa kwenda wengine wataenda,hivo bora angalau niambulie fahari ya macho.
twende tu Kiranga tukacheki game kama unawezo.
 
kama kuingizwa mkenge, tumeshaingizwa mkenge, hatuna budi kwenda kuuangalia huu mpira,kususa haitatusaidia tutakosa yote,,bora tupate moja walau...kuboycott kama unavyosema wewe katika jambo kama hili ni kitu cha kijinga. ndo tatizo lenu kila kitu mnataka kususasusa bila hata kufikiria. tunaoenda kuangalia tutaenda, wasioenda wabaki home na tv wala wasifungue kutuchungulia tukiwa uwanjani...bora tukanunue ticket kuchangisha walau kirudi kidogo tulichobambikwa...tukisusa kabisa si ndo tutakula hasara ya moja kwa moja? fanya boycott peke yako wala usiende.....si ajabu unaongea ivi kumbe umeshaweka ticket yako mfukoni tayari...kalagabaho nyie wengine...
 
Charity ikitimia hesabu yako inayobaki niongezee nikate jukwaa la kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…