Go Harambee Starlets, gooo! [emoji1139] Sijui walikosaje kufuzu kushiriki kwenye Tokyo 2020 Olympics. Walituwakilisha vyema hadi semi-finals kwenye mchuano wa kufuzu, ila ingependeza zaidi kama wangepeperusha bendera ya Kenya hadi kule Tokyo. Hongera zao lakini kwa kuwa mabingwa wa Cecafa, bila ya kufungwa hata bao moja!