wewe bagamoyo kutumia ukubwa wa nchi kama kigezo cha kuwa na timu bora ni kudhihirisha uelewa wako mdogo wa soka, kwa hivyo unajua cape Verde ni namba ngapi kwa FIFA rankings au unakurupuka tu?
Na kulingana na mawazo yako, si timu ya soka ya India au China ingekuwa miongoni mwa timu bora duniani? Na kuhusu wanariadha kutumia vidonge, si ni kote duniani sio Kenya pekee, au ni wivu wa mtz kukosa kufanikiwa kwenye riadha kwa sababu ya uzembe?