mwaswast JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 12,780 Reaction score 6,480 Dec 17, 2017 #1 Harambee stars wameshinda Akombe la Cecafa huko machakos baada ya kuicharaza Zanzibar.
Bitter pill JF-Expert Member Joined Jun 10, 2017 Posts 917 Reaction score 781 Dec 17, 2017 #2 mwaswast said: Harambee stars wameshinda Akombe la Cecafa huko machakos baada ya kuicharaza Zanzibar. Click to expand... Sasa hiyo ndo inshu ya kufungulia Uzi?acha ujinga
mwaswast said: Harambee stars wameshinda Akombe la Cecafa huko machakos baada ya kuicharaza Zanzibar. Click to expand... Sasa hiyo ndo inshu ya kufungulia Uzi?acha ujinga
mwaswast JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 12,780 Reaction score 6,480 Dec 17, 2017 Thread starter #3 Bitter pill said: Sasa hiyo ndo inshu ya kufungulia Uzi?acha ujinga Click to expand... Povu peleka Tanganyika.
Bitter pill said: Sasa hiyo ndo inshu ya kufungulia Uzi?acha ujinga Click to expand... Povu peleka Tanganyika.
Lewis254 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 7,729 Reaction score 3,569 Dec 17, 2017 #4 Bitter pill said: Sasa hiyo ndo inshu ya kufungulia Uzi?acha ujinga Click to expand... na kama kweli mungeshinda, huku hakungekalika. nyuzi zingefunguliwa zaidi ya mia
Bitter pill said: Sasa hiyo ndo inshu ya kufungulia Uzi?acha ujinga Click to expand... na kama kweli mungeshinda, huku hakungekalika. nyuzi zingefunguliwa zaidi ya mia
mwaswast JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 12,780 Reaction score 6,480 Dec 18, 2017 Thread starter #5 Lewis254 said: na kama kweli mungeshinda, huku hakungekalika. nyuzi zingefunguliwa zaidi ya mia Click to expand... Walikuwa wameanza kupiga mdomo vile Zanzibar itatwanga Kenya. Tunawachap kila kitu toka uchumi, michezo na hapa JF forum yao tunawachapa hata tukiwa less than 20 Kenyans kwenye mijadala.
Lewis254 said: na kama kweli mungeshinda, huku hakungekalika. nyuzi zingefunguliwa zaidi ya mia Click to expand... Walikuwa wameanza kupiga mdomo vile Zanzibar itatwanga Kenya. Tunawachap kila kitu toka uchumi, michezo na hapa JF forum yao tunawachapa hata tukiwa less than 20 Kenyans kwenye mijadala.