Harambee Stars vs Taifa Stars official thread

Tunavyojua kuchambua sura za watu sasa...leo sijui ya mchezaji gani itachamuliwa leo
 
Mimi huyooo[emoji23][emoji23][emoji23].
Nikaanza kumwomba Mungu anilinde barabarani nifike salama.
Maana siku njingine huwa nasali nikiwa njiani sasa Leo nikapata nafasi ya kusali kabla sijatoka.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Bora kwa kweli
 
Na tusubiri timu ya ccm ikipigwa mkono na Algeria πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Moviiie ya bashite imeshafeli. Ndiyo nilitaka kushangaa bashite tangu lini mipango yake ikafanikiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…