Hebu lala basi kesho ukaonyeshe uzalendoNitakuwa mchaga wa mpakani mwa rombo na Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhahahahahahahha.Hivi unatumia mganga gani hapa mjini???
Yaani acha tu mkuu...cjui tumefungwaje hii mechi...
The guy is a complete failureFT
Kenya 3- UVCCM 2
Nahodha wa UVCcm ni Bashite.
Bashite ulitutukana mchana, sasa sijui utatuambia nini watanzania na mambo yako ya kuigawa nchi.
Yaani unasema stars ni Ccm.
I hope Karma saved you what you deserve. Haya kesho basi la SAA 12 urudi [emoji23][emoji23]sorry ndege.
CCM mnashida kweli!Yaani acha tu mkuu...cjui tumefungwaje hii mechi...
Matatizo hayaWoyoooooo woyooooo, woyooooooo.
Kenya mmejua kumwaibisha bashiteee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sijui atarudijeeee. Bashite akirudi anakuta Spika anamsubiria airport[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora kwa kweli
hahaha iyo rangi ni ya ndugu zetu omba omba fc mkuu nayo imechangia pia.Tulilikwisha waonya kuhusu rangi iyo
Engineer huyo waona jamaa amefanya mambo yake?OLUNGA THE MAN[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1140592
Wako wapi Sasa[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuko Buda [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa. Kaenda kuwatia nuksi tuuHakunaga anachofanikisha yule jamaa
Pamoja dada.Congrats Harambee Stars. Well done lads!
Taifa Stars mmenichosha kupita maelezo.
Anaingia ba flight ya usiku saa naneWoyoooooo woyooooo, woyooooooo.
Kenya mmejua kumwaibisha bashiteee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sijui atarudijeeee. Bashite akirudi anakuta Spika anamsubiria airport[emoji23][emoji23][emoji23]
Nisije nikapigwa mzungu wa NNEIshia hapo hapo
Kwa hiyo na Mimi unanichukia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nachukia sana wakenya wa aina yako hahaha
Tufanye kuondoka kabisaaaNisije nikapigwa mzungu wa NNE
nimekoma Mimi.
Takusubiri tuondoke