Harambee Stars vs Taifa Stars official thread

Ndege ni moja kwa vilabu zote. Tofauti Utumikaji ni hela. Hiyo ndiyo iko na tofauti kidogo..
 
Kwahiyo kama wanaume siyo wazuri inamaanisha wanawake ndo wazuri.
Sasa yeye mwanaume anasemaje mwanamke ni mbaya kama siyo kuna nat imelegea mahali.
wadada ndio wazuri aisee...kwa mwanaume haifanyi kazi kiivo kama unaona nati zimelegea sawa tu ni upande wako wa mtazamo 🙂, Hakuna mwanaume mzuri acha sisi nati zilegee tu maan ajata kwenye jamii hatuko sawa

by the way Honegerni Hrambee angalau mmejitutumua mmetoka kwa pointi 3 na mmecheza kulinganisha na sisi Taifa starts tunaruka ruka tu japo tuta improve taratibu
 
[emoji28][emoji28][emoji28]cha msingi kinacho matter ni harambee iliifunga ccm. Hata ikitoka[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…