Harambee ya maendeleo na ukarabati wa Shule ya Sekondari Enaboishu, Arusha TZ

Harambee ya maendeleo na ukarabati wa Shule ya Sekondari Enaboishu, Arusha TZ

Emashi

Senior Member
Joined
May 24, 2012
Posts
138
Reaction score
26
ENABOISHU KIBAO CHA SHULE.jpg

KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI KATI

KWA WATU WOTE,
Uongozi wa Shule ya Sekondari Enaboishu, Arusha, Tanzania; inawatangazia wanafunzi waliosoma hapa, wazazi na walezi wa wanafunzi, marafiki na wadau wote wa elimu wa ndani na nje ya Tanzania, kwamba shule inatarajia kuendesha harambee ya kuchangia maendeleo na ukarabati wa shule kati ya Novemba na Desemba, 2012.
Upatapo taarifa hii, wajulishe wanafunzi waliosoma hapa na marafiki wote.
Hizi ni taarifa za awali. Habari kamili itatolewa hivi karibuni.
Kwa ufafanuzi na mawasiliano zaidi, tumia njia zifuatazo:
1) Mkuu wa shule,
Shule ya Sekondari Enaboishu,
S.L.P 3120, Arusha
Simu: +255713610738 au +255767610738
2) Bwana Calist C. Chami
Makamu Mkuu wa Shule.
Shule ya Sekondari Enaboishu,
Simu: +255754488291
3) Barua pepe: enaboishusecondaryschool@yahoo.com
4) Nukushi: +255732979654
5) Intaneti: Home - enaboishuhighschool's JimdoPage!
6) Au fika moja kwa moja Shuleni na onana na uongozi wa shule
Ni matumaini ya uongozi wa shule kuwa utashiriki

ASANTE SANA

Taarifa imetolewa na:
Lession Ole Sakinoy,
Mkuu wa shule Jumanne , Septemba 11, 2012
Shule ya Sekondari Enaboishu
 
Back
Top Bottom