Harambee ya ujenzi wa maabara tatu za Seka Sekondari - Jimbo la Musoma Vijijini

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
HARAMBEE YA UJENZI WA MAABARA TATU ZA SEKA SEKONDARI - JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

Seka Sekondari ni shule mpya ambayo kwa sasa ina wanafunzi wa Kidato cha Kwanza hadi cha Tatu ( FI - FIII).

Jumla ya WANAFUNZI ni 344, na WALIMU wapo wanane (8)

Sekondari hii ilijengwa baada ya kubaini kwamba Sekondari ya Kata (Kasoma Sekondari) ilikuwa imeelewa na wingi mkubwa wa wanafunzi kutoka vijiji 5 vya Kata hiyo (Kata ya Nyamrandirira).

MAABARA YA SEKONDARI

Seka Sekondari HAINA MAABARA, kwa hiyo mafunzo ya vitendo (practicals) yanafanyiwa kwenye chumba kimoja cha darasa.

Sekondari hii inahitaji MAABARA 3 za Physics, Chemistry & Biology

HARAMBEE YA MBUNGE YA UJENZI WA MAABARA

Siku/Tarehe
Alhamisi, 2.2.2023

Muda:
Saa 3 Asubuhi

Mahali:
Seka Sekondari
Kijijini Seka

MICHANGO IPELEKWE kwa:
Headmaster
Seka Sekondari
0787 411 265

OMBI MAALUM
Wazaliwa wa Kata ya Nyamrandirira wanaombwa sana wachangie ujenzi huu. Hao ni wazaliwa wa vijiji vya Chumwi, Kaboni, Kasoma, Mikuyu na Seka.

*Wadau wengine wa Maendeleo wanaombwa kuchangia ujenzi huu - Maabara 3 za Seka Sekondari.

ELIMU NI UCHUMI

ELIMU NI MAENDELEO

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz

Tarehe:
Jumamosi, 28.1.2023
 
Attachments

  • index.jpg
    index.jpg
    11.1 KB · Views: 3

Muhongo achangie hela alizoiba kwenye vitalu vya gesi aache ubabaifu.
 
Safi. Ningependekeza kuwe na timu ya kutafuta funds kutoka kwa Mbunge mwenyewe ikiwa na barua, isambaze kwenye taasisi za fedha, n.k. na wahakikishe ufuatiliaji. Mnapata tu.
 
Back
Top Bottom