ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
EEH MOLA - HARD BLASTERS CREW ( H.B.C)
Ni hitimisho la mwisho jaribu kufanya masahisho/ kabla ya mungu hajakata pumzi ya mwisho/si vitisho ni wakirisho kuona kata wito pima uzito hapo ulipo upate uthibitisho/
Ujafa ujaubika ndivyo inavyo sadikika / iwe leo au kesho muda wa moto utazimika/ nani anabisha kalubaa kaulabadika/ masikini, tajiri wote ndani ya patashika/ Dunia haichangui sifa wala cheo wala lika haichangui fika wala rangi na wakika/ Mambo yanavyo badirika dakika hadi dakika/ ipo kazi kwa vipangananzi na mabazazi / hiki kizazi kina mwanga ladhi kiwazizi/ Eeh mola shusha maisha marefu kwa wangu wazazi/ Eeh mola eipushe Dunia vita na ujambazi Eeh mola/
Eeh mola ( hard blasters crew) - nigga jay ( professor jay)
Joseph haule...🔥🔥🔥
#tafakuri..
Je? Upo upande upi? Kwenye umoto au baridi..
UKWAJU WA KITAMBO