Hard blasterz crew " nusu pepeni nusu kuzimu..

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
PROFESSOR JAY.

MAGEREZA yanawaka moto Wafungwa ndani ya msoto/
Wanaume wanavyocheza Baba na mama kama watoto/
Ni ukweli usiofichika mfungwa hachagui gereza/
Wote wana haki sawa sio tu mnawatelekeza/
Nikipatwa na hatia sio kwamba nipate mateso/
Magereza ni chuo cha nidhamu mtu ajifunze ya kesho/
Sishiki Mic kwa ujiko Hip Hop kwangu ni biashara/
Biashara bila mshiko ni heri mnitoe kafara/
Mapromota uchwara tumeelawana mi sio fara/
Mi sifanyi kazi ya bure hata mkiniteka nyara/
Dili zimekuwa nyingi huko Mbozi, biashara ni ngozi/
Na sasa zimetapaa walevi kunyweni kwa pozi/
Nashusha habari/
Mc kaa tayari/
Hii ngoma jihadi/
Sometime nakunywa pombe kama mtani wa jadi/
Na sasa nina ghadhabu kifisadi-fisadi/
Msicheze na radi/
Nawashangaa mnavyoshangilia kubadili jinsia/
Hamwelewi Sodoma na Gomorrah ndio hiyo imeshawadia?
Wanaume kuolewa huru hii ni nuru au kufuru?
Enyi Watanganyika mnajaribu kufuga kunguru?
Msalie mtume, maisha ya Bongo fifty fifty/
Nusu Peponi Nusu Kuzimu ilimradi siku ipite/
Wengine wana kila kitu wanaishi kama mbinguni/
Wengine wanagaagaa na wapo kwenye hali duni/
Wengine mchana ombaomba jioni wapo vilabuni/
Wengine wanasiasa wanafikiri kuingia msituni/
Mc wa kweli/
Niiteni Jay wa Mineli/
Ni nani kati yetu aliyewahi kukosea kuendesha baiskeli?
Nadhani hakuna, kufa kiume sio unanuna/
Maisha ni kama vitani kichwa chini mikono nyuma.... nyuma.... nyuma....

.....................

Moja ya verse zangu pendwa kutoka kwa Prof Jay.
Verse hii ilinifanya nimtafsiri Prof Jay kuwa ni Nabii wa Swahili Rap, aliyeibuka na ufunuo mpana kwa ajili ya mapinduzi ya vizazi vyote.

Hapa alikuwa bado akiitwa Nigga Jay. Ni kabla ya Legend John Dillinga Matlou kumvalisha joho la uprofesa na taifa likakubali kuwa yeye ni Profesa Jay.
Wimbo ni Nusu Peponi Nusu Kuzimu, upo kwenye albamu ya Funga Kazi 2000 ya Hard Blasterz Crew (HBC).

Tuendelee kumwombea Nabii wa Swahili Rap, afya yake ikae sawa, arejee mtaani, aingie studio tena. Bila shaka kuna unabii mwingine atautekeleza.

We Miss You Bro.

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
 
Attachments

  • 1727868047592.jpg
    1727868047592.jpg
    92.5 KB · Views: 8
Hii goma nimekukumbuka leo mchana kama mwanzo yetu yalikuwa sawa nikasema niitafute, kama tuliwaza sawa

USSR
 
076mkuu huyu mwamba ni kama nabii ngoma zake zote ni mafundisho
 
Back
Top Bottom