Time Traveller
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 314
- 306
Bei ya maongezi mwisho shs ngapi?Habari za muda huu wana Jamii forums. Nauza internal hard drive ya desktop yenye ukubwa Wa GB 4000 tera byte 4. Hii inafaa sana ofisi zinazohitaji space kubwa kuhifadhi data mbalimbali. Pia inawafaa wapenda tamthiliya na movies mbalimbali kwani inakupa nafasi ya kuhifadhi tamthiliya upendazo. Bei ni laki 3 tu. Na tunakufungia kwenye desktop yako. Tunapatikana Dar-es-salaam
Kwa mawasiliano zaidi.
0710 304035.
Ukiinunulia external case itafaa. Ila utakuwa unachomeka kwenye umeme ndo uitumieHii naweza kuitumia kama external kuhifadhi mambo yangu pamoja na movies?
IPO tupu mkuuImejaa hizo gb?
Mkuu kuna wanafunzi humu ukifanya hivyo unawapotosha. Sio kweli kuwa ni kwa kipimo chako icho. Kipimo kipo hivi: 1024 kb = 1mb, 1024 mb= 1gb na nyingine pia hivyo hivyo. Na kwa tb 4= 4096 gb.1000kb=1mb
1000mb=1gb
1000gb=1tb
4000gb=4tb
4tb haijai hata kwakufanyaje.
Nina laki mbili mkuu.Karibuni wadau
Ipo MSI gtx 960 2GB.Shukran me nahtaj nvidia card napata?
Ntumie pcha zake in 0755161970 whatsapp mengne tutajua hukoIpo MSI gtx 960 2GB.
Mkuu habarIpo MSI gtx 960 2GB.
NjemaMkuu habar
0758 476 215 mm nataka tb4 mbona cm haipatikaniHabari za muda huu wana Jamii forums. Nauza internal hard drive ya desktop yenye ukubwa Wa GB 4000 tera byte 4. Hii inafaa sana ofisi zinazohitaji space kubwa kuhifadhi data mbalimbali. Pia inawafaa wapenda tamthiliya na movies mbalimbali kwani inakupa nafasi ya kuhifadhi tamthiliya upendazo. Bei ni laki 3 tu. Na tunakufungia kwenye desktop yako. Tunapatikana Dar-es-salaam
Kwa mawasiliano zaidi.
0710 304035.
Umeangalia post ya mwaka gani?0758 476 215 mm nataka tb4 mbona cm haipatikani