robert sendabishaka JF-Expert Member Joined Dec 11, 2015 Posts 3,144 Reaction score 3,338 Jul 4, 2019 #21 viking said: HP laptop 1TB sh 475000 inbox Click to expand... funguka details na mawasiliano. kama unauza mali yako, woga wa nini?
viking said: HP laptop 1TB sh 475000 inbox Click to expand... funguka details na mawasiliano. kama unauza mali yako, woga wa nini?
V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,290 Reaction score 1,427 Jul 4, 2019 #22 robert sendabishaka said: funguka details na mawasiliano. kama unauza mali yako, woga wa nini? Click to expand... Piga simu 0712652110 Dar Attachments image.jpeg 139 KB · Views: 15 image.jpeg 72 KB · Views: 20
robert sendabishaka said: funguka details na mawasiliano. kama unauza mali yako, woga wa nini? Click to expand... Piga simu 0712652110 Dar
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 17,119 Reaction score 32,195 Jul 4, 2019 #23 Princ said: 1000kb=1mb 1000mb=1gb 1000gb=1tb 4000gb=4tb 4tb haijai hata kwakufanyaje. Click to expand... Mimi naijaza moezi 3 tu kama nikiwa na unlimited internet connection. Movie,TV Series, Games, na video Tutorials zinakula space sana. Game moja ya kisasa inaweza kuwa na 6GB hadi 25GB. Movie zile full HD au True HD ya 1080P inaweza kuwa na 2GB hadi 3.6GB.
Princ said: 1000kb=1mb 1000mb=1gb 1000gb=1tb 4000gb=4tb 4tb haijai hata kwakufanyaje. Click to expand... Mimi naijaza moezi 3 tu kama nikiwa na unlimited internet connection. Movie,TV Series, Games, na video Tutorials zinakula space sana. Game moja ya kisasa inaweza kuwa na 6GB hadi 25GB. Movie zile full HD au True HD ya 1080P inaweza kuwa na 2GB hadi 3.6GB.