Hard question why we buy ARV's Uganda now

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Tetesi: - Uwenda ARV za bure kupotea kwenye hospitali za Serikali ikiwa USA haitobadili sera yake WHO

Niliwahi kuandika huu uzi miaka ya 2020. Watu wakanibeza na kufikiri natania ila nataka mjuwe yajayo yanafurahisha kama nilivyokwisha sema Wamarekani wanatupa adhabu ya kimya kimya bilabkupiga kelele na hii ilianza tangua enzi za Baba akiwa hai na this time baada ya vita ya Ukraine wamarekani walisema mataifa yote ambayo hayaku onyesha kupinga hii vita basi wata review terms and condition za misaada wanatupa.
Niliandika kwenye hiyo attachment kiasi gani USA wanachangia hizi dawa na fedha. Kusema ukweli Europ na USA wanatoa misaada sana TZ kiasi hawa jamaa wakiacha support taifa litapita nyakati ngumu.
Arvs za Uganda zitatutoa kamasi. Hili nisiseme sana.
End
 
Acha ngono zembe, tuna mambo mengi ya kuhofia sio.ARV's
 
Mkuu
Asante kwa uzi
Inawezekana tumezidiwa maendeleo na waganda hadi tufanye haya.
Je mkataba huo una Baraka ya wenye mipaka ya nchi yetu!!!?
TUSUBIRI!
 
Hii nchi hovyo kabisa..chanzo ni kijani..yani inashangaza sana tunakwama wapi..sasa tumekuwa omba omba tu

Rwanda wanaresemble simu ya magari
Uganda wana tengeneza dawa za kufubaza sasahivi tunaenda kuomba watuuzie.

Sisi tumekalia siasa na wanasiasa majitaka ambao wapo kwaajili yao na matumbo yao.

Ifike wakati maamuzi magumu yafanyike.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom