maguzu masese
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 283
- 139
HARD TALK:HADITHI YANGU.
''WENZETU WANATUTHAMINI SANA ''.
Na Andrew Nkumbi
MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA TANGU KUJA KWA RAIS WA CHINA NCHINI TANZANIA.
Kwa mujibu wa Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa nchini Tanzania, Kupitia kwa Katibu mkuu wake ndugu John Haule.
'Takribani Watanzania 177 wamefungwa katika magereza nchini China,15 Kati yao, wamehukumiwa kunyongwa, kwa makosa ya kukutwa na Dawa za kulevya.' (simple like that!!)
'' Lakini wenzetu wanathamini sana, kama sisi tunavyothamanini. Lakini, wenzetu wanathamini zaidi mahusiano yetu, na ndio maana hata wale wachache'' (kwa maana ya watanzania 15) '' hawajanyongwampaka leo, na hatutegemei kwamba watanyongwa'' akasisitiza zaidi kuwa ''sana sana watafungwa kifungo cha maisha''- John Haule.( katibu mkuu)
Chanzo cha habari : Kurasa @ eatv.tv 24/03/2014.
Darasani mwalimu alitufundisha.
WAYS OF KNOWING ni pamoja na language, Perception, Reason na Emotion.
PROBLEMS OF KNOWLEDGE ni pamoja na Common Sense , Relativisim. Kukaibuka maswali, Who cares?, what should we believe?
Kukawa na Skepticism !!!, akasaidia zaidi kuwa,
AREAS OF KNOWLEDGE ni pamoja na History, The arts, Ethics na Religion!!!..
MH!!,ama kweli, 'UKWELI ni kama MZIMU'!!!
Kama utani, siku zikayoyoma, kurasa za kitabu zikaisha, Mtihani ukaja. Katika kujibu maswali ya mtihani , kila mwanafunzi alikuwa na CONCLUSION yake mwenyewe ( ya pekee) japo maswali yalikuwa yanafanana !!! . Muda wa kuhamia chumba kingine cha darasa ukawadia. Hapa ndipo FALSAFA INAANZIA na Hadith yangu inaishia !!!
Tafakari maneno niliyo yakolezea kwa wino mweusi katika habari hapo juu, ili kufikia kujua ukweli. Hayo ya darasani, sio lengo langu kuu bali ni kutaka kusaidizana huenda mwalimu wangu hakunifundisha njia sahaia kuelekea kujua!!
Miongoni mwa maswali niliyonayokutokana na kauli hii ya katibu mkuu
''wenzetu wanatuthamini sana kama sisi tunavyowathamini''
-Inasemekana kipindi furani JK alimuepusha Liz 1 na noma nchini China eti?
-Vipi Magufuri aliwahi kukamata Meri toka Asia? Walihukumiwa Kunyongwa?
-Liz 1, hajawahi kwenda China, si aoneshe pasport yake tu jamani eti? Au?
-Meno ya Tembo wetu biashara kubwa ni nchi gani? Ni Burundi?
-Tanzania imefunga Wachina wangapi mpaka sasa? Kwa makosa mbali mbali nchini? 500?
-Bidhaa feki kuingia si zinapitishiwa bandarini kwetu eti? au? Na kule China pia hawana TBS kama kwetu? Au bidhaa zikitoka China ni Original njiani ndio zinabadilika kuwa feki, kabla ya kuingia Tanzania eti?
-Kumbe wafanya biashara wa Madawa wanafahamika eti? Na kila siku limekuwa ni gumzo, kumbe Dawa ni kuwanyima VISA eti?
-Gesi na misaada kutoka china, simple like that eti? (si tunafaana kwa dhiki eti?)
-Balozi si aliwahi kuwa ktk majukwaa ya chama cha Kijani au?
-Takribani watanzania 177, huenda ni zaidi ya hawa eti? ( Taalifa ubalozi hawana eti?)
Maswali ni mengi sana Majibu ni machache ILA,
''WENZETU WANATUTHAMINI SANA KAMA SISI TUNAVYO WATHAMINI''
Andrew Nkumbi
ni Mwanafunzi wa Falsafa na Siasa