Ahmad Mussa Member Joined Oct 21, 2011 Posts 46 Reaction score 19 Oct 31, 2011 #1 Jamani kuna story nimeanza kuandika inaitwa HARD-DISK Naombeni msaada wenu tafsiri ya neno hili kwa kiswahili!
Jamani kuna story nimeanza kuandika inaitwa HARD-DISK Naombeni msaada wenu tafsiri ya neno hili kwa kiswahili!
N nakungah Member Joined Jul 26, 2011 Posts 9 Reaction score 0 Nov 24, 2011 #2 Ahmad Mussa said: Jamani kuna story nimeanza kuandika inaitwa HARD-DISK Naombeni msaada wenu tafsiri ya neno hili kwa kiswahili![/QU Diga kosotu ndiyo hard disc. Click to expand...
Ahmad Mussa said: Jamani kuna story nimeanza kuandika inaitwa HARD-DISK Naombeni msaada wenu tafsiri ya neno hili kwa kiswahili![/QU Diga kosotu ndiyo hard disc. Click to expand...
Ze burner JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 514 Reaction score 83 Nov 24, 2011 #3 hard = ngumu disk = santuri santuri ngumu
Askari Kanzu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,596 Reaction score 1,234 Nov 25, 2011 #4 Ahmad Mussa said: Jamani kuna story nimeanza kuandika inaitwa HARD-DISK Naombeni msaada wenu tafsiri ya neno hili kwa kiswahili! Click to expand... Ubongo wa chuma (ubongochuma), hiyo tafsiri nadhani inaweza kukubalika.
Ahmad Mussa said: Jamani kuna story nimeanza kuandika inaitwa HARD-DISK Naombeni msaada wenu tafsiri ya neno hili kwa kiswahili! Click to expand... Ubongo wa chuma (ubongochuma), hiyo tafsiri nadhani inaweza kukubalika.