Hardest Truth of Life....

Tuwe wema jamani...ulimwenguni tunapita tu.
 
Ni Kweli,lkn hbr Njema ni Kwamba Nitakuwa sijitambui,nitakuwa nipo somewhere nikila upepo mzuriiiii,Limwili langu tu ndio litakalokuwa linaharibika.Hivyo tufurahie Maisha tuliyopewa na Mungu huku tukiishi Maisha mema.Fullstop.
 
Ishini mkiwa wema ili kama kuna cha kupata baada ya kifo mpate yaliyo mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…