hardware id (HWID) ban...je nawezaje ku bypass ?

gm man

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,177
Reaction score
1,455
wakuu,
nimedownload miracle thunder 3.02 na kuinstall then nilipojaribu kui open inaleta error hiyo hapo chini
je nawezaje kui solve hiyo error????

 
Tool imeshatoa HWID. unatakiwa ktk next page upaste hyo ID na ulipie kwa resseler. Ili aweze kuiregister au akupatie registration keys utakazozitumia kupita ktk hyo step.
 
Ila kuna jamaa anaiuza hyo ambayo inapita bila hizo issue za HWID. ukiwa tayari niPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…