Hari sio hari Tena KQ

Hii biashara inaitaj invest kubwa sana na faida yake sio ya leo wala kesho.......
 
Tuandamane Hadi OR Tambo kuichukua Ndege yetu kutoka kwa tulikomboa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa Mkulu atatumia Ndege gani kwa ziara zake za "nje" ya Nchi(Dar es salaam) na kuwapeoekea msaada wabukoba wasile kinyesi?
Hizi hasara za KQ Zasababishwa na ukuuku wa ndege Na njaa inayo lisumbua taifa la middle income
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…