Haribu Nakala za Cheti cha kuzaliwa kabla ya kuzitupa

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
IMG_20210611_134052_807.png

Unashauriwa kuharibu nakala (copies) za Cheti cha kuzaliwa ambazo umeshatumia na unahitaji kuzitupa.

Cheti huwa na taarifa nyingi muhimu ikiwa zitafika kwa mtu mwenye nia mbaya anaweza kuzitumia kufanya uhalifu kwa utambulisho wako
 
Upvote 3
View attachment 1815211

Hiyo Ni kwa mujibu wa Chanzo gani Cha usalama mkuu
 
Uongo. Labda ungesema cheti cha form four na cha NIDA au passport ya kusafiria.

Vilivyobaki vyote ni takataka hasa cha ndoa na cha ubatizo.
Mkuu cha Ndoa ni takataka tema?
Cheti cha Ndoa kina Akhera yako!!
Kitunze
 
View attachment 1815211
Unashauriwa kuharibu nakala (copies) za Cheti cha kuzaliwa ambazo umeshatumia na unahitaji kuzitupa.

Cheti huwa na taarifa nyingi muhimu ikiwa zitafika kwa mtu mwenye nia mbaya anaweza kuzitumia kufanya uhalifu kwa utambulisho wako
Wachina waliiba siri nyingi za marekani kwakuwa walijifanya matarishi kwenye maofisi na kupewa kutupa nyaraka mbalimbali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom