Hiyo Ni kwa mujibu wa Chanzo gani Cha usalama mkuuView attachment 1815211
Unashauriwa kuharibu nakala (copies) za Cheti cha kuzaliwa ambazo umeshatumia na unahitaji kuzitupa.
Cheti huwa na taarifa nyingi muhimu ikiwa zitafika kwa mtu mwenye nia mbaya anaweza kuzitumia kufanya uhalifu kwa utambulisho wako
Mkuu cha Ndoa ni takataka tema?Uongo. Labda ungesema cheti cha form four na cha NIDA au passport ya kusafiria.
Vilivyobaki vyote ni takataka hasa cha ndoa na cha ubatizo.
Uongo. Labda ungesema cheti cha form four na cha NIDA au passport ya kusafiria.
Vilivyobaki vyote ni takataka hasa cha ndoa na cha ubatizo.
Wachina waliiba siri nyingi za marekani kwakuwa walijifanya matarishi kwenye maofisi na kupewa kutupa nyaraka mbalimbaliView attachment 1815211