Haya yalikuwa maongezi murua.
Ilikuwa mwaka 2004, pale Ethiopia na huyo rafiki yangu ambae alifika pale kuwekeza kwenye maji hasa maeneo makame.
Katika story tuligusia jinsi viongozi wakuu wa Afrika wasivo na weledi kwa kuiba mabilioni ya wananchi wao na kuwekeza nje ya mataifa yao.
Tukafikia story ya mataifa yenye ufisadi mkubwa ambapo kanuni moja ni kiongozi wa nchi hupangiwa sana safari ili wasaidizi wake wabaki wanafanya ufisadi wa kutisha tena Kwa kujiachia na hasa wale viongozi ambao ni wavivu kusoma taarifa mbalimbali.
Ikatokea kiongozi mmoja wa nchi jirani yeye alikua akipelekewa kitu asaini anauliza hiki si unauhakika kiko sawa akijibiwa mkuu kiko sawa yeye anaanguka saini na wakati mwingine anaomba wasaidizi wageze saini yake ili kazi zisilale.
Siku ile ilikua nzuri sana na toka hapo sikuwahi kuonana na jamaa.
Hivo tukasema nchi zinajengwa Kwa kua na utulivu na plan ya rasilimali za nchi husika kwanza na sio Kwa kukopakopa kila leo ilihali matokeo hayaonekani.