Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Jamani mbona mnamheka Hamo Rappa kukimbia baada ya kuona siraha? Msicheze na siraha jamani, ulizeni wale watangazaji wa SHILAWADU wako wapi baada ya kuona ile mitutu ya Bashite, mpaka leo hawajulikani walipo
Ahaha ahahaha ahahaa dah! kweli kabisa harmo alikuwa sahihi kabisa kutoka nduki [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Naomba mwenye hiyo video ya HAMOLLAPA arivyotoka mbio vire vya Hatali . anitumie whatsapuni kwangu..
 
Yeye alienda kumpa pole mfikwa na majanga cha ajabu badala ya kutoa msaada anamkimbia tena jamani??? Na wangemsambaratisha mpua wake kama sketi ya solo
Kitu cha kijinga kabisa kumwambia binadamu mwenzio, si ajabu muonekano wako hata huyo mwenye pua yake anakuzidi
 
Jamani mbona mnamheka Hamo Rappa kukimbia baada ya kuona siraha? Msicheze na siraha jamani, ulizeni wale watangazaji wa SHILAWADU wako wapi baada ya kuona ile mitutu ya Bashite, mpaka leo hawajulikani walipo
 
Yeye alienda kumpa pole mfikwa na majanga cha ajabu badala ya kutoa msaada anamkimbia tena jamani??? Na wangemsambaratisha mpua wake kama sketi ya solo
Sura ya kiume wewe ile.. Vip tena Rubiii
 
Alijulikana?
 
Hao vibaka wa Muhutu Mwendakuzimu hivi wako wapi siku hizi, au ndiyo wamefinywa 'kisailensa'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…