Harmo Rapper aopoa demu mkaleee...

Yule dada ana mkataba naye au ndio manzi yake maana sielewi ?
Hahaha
 
Aaaaaache kubweteka apige kazi asilewe na kiki za kufananishwa
 
Hamorapa ana sura chachu sana tu na kajiopolea kitu swafii Meanwhile i cant even get a text back ....whaaaaaat dunia haiko fair [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Harmorapa ndio habari ya mjini, hakuna demu mwenye jeuri ya kumchomolea
 
Pesa ngumu sana... haya mambo ya kutengeneza ili watu wajiingizie pesa wanayaweza wakina "Kanye West"... Jamaa anachekelea tu anavyovishwa kilemba cha ukoka... a.k.a mshika mapembe...
 
Harmonize ni Mmakonde na Harmo Raper ni Mmakua wote wanatoka mkoa mmoja lakini hawa jamaa wanasura ngumu halafu ni warefu kupita maelezo!
 
Harmonize pia hata avae nini au hata awe maarufu kiasi gani ?.Bado anasura mbaya sana huyo Rapper wala hatafuti kick ni kuwa wanafanana tuu
 
Hahahahha, Harmo Rapper wauweeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…